The portal Vatican News uses technical or similar cookies to make navigation easier and guarantee the use of the services. Furthermore, technical and analysis cookies from third parties may be used. If you want to know more click here. By closing this banner you consent to the use of cookies.
I AGREE
27 Machi 2020
"Urbi et orbi" prayer and benediction
From the Sagrato of St Peter's Basilica, Moment of Prayer and the Urbi et Orbi Blessing, presided over by Pope Francis
Papa Mstaafu Benedikto XVI: Katekisimu iliidhinishwa kwa Waraka wa Mtakatifu Yohane wa Pili: “Fidei depositum” yaani “Amana ya Imani” uliosindikiza kuchapishwa kwa Katekisimu ya ...
Chuo cha Ufundi Mgongo ni Chuo kinachoendeshwa na kusimamiwa na Wamisionari wa Consolata na kiko Jimbo Katoliki la Iringa, Tanzania. Chuo kinapokea vijana walio maliza kidato cha ...
Papa Francisko amejipambanua kuwa ni: Mtetezi wa haki na amani; kwa kuendelea kusimama kidete katika mchakato mzima wa uinjilishaji na utamadunisho kama sehemu ya ujenzi wa Kanisa ...
Mkazo ni kuhusu: Mchakato wa ujenzi wa: Umoja, mshikamano na ushirikiano kati ya watu wa Mataifa, kwa ajili ya kujenga na kudumisha amani na utunzaji bora wa mazingira nyumba ya ...
Amani na haki ni matunda ya toba ya kweli na wongofu wa ndani, ishara na alama ya kumpokea Masiha ajaye na kuwabatiza watu kwa Roho Mtakatifu na kwa Moto na kuondoa uovu wote ...
Mafungamano ya urafiki wa kijamii ni muhimu sana kwani yanavuka mipaka ya nchi, tamaduni, dini, imani na mafao binafsi, kwa kujenga na kuturubisha uwajibikaji sanjari na utunzaji ...
Ubunifu ni hitaji muhimu kwa wakati huu katika mchakato wa kulinda na kutunza ikolojia, kati ya binadamu na kazi ya uumbaji. Ubora huu unanogeshwa na sera na mikakati ya Mtandao wa ...
Jukwaa la Laudato si ni jibu la kusikiliza na kujibu kwa makini kilio cha Dunia Mama na Kilio cha Maskini, ili kuwaletea watu matumaini. Hii ni changamoto ya watu kusimama kidete ...
Papa Francisko: Changamoto ya utunzaji bora wa mazingira haina budi kupewa kipaumbele cha pekee kama ilivyo pia kwa sekta ya afya na vita sehemu mbalimbali za dunia, wito kwa wote ...
Siku ya VI ya Maskini Duniani: Umaskini wa Kristo uwawajibishe waamini kushirikiana na kushikamana katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili, kama kielelezo cha tunu msingi ...
Kongamano la Bahrain la Majadiliano; Hati ya Udugu wa Kibinadamu kwa Ajili ya Amani na Utulivu; Mchango wa wanawake katika: ustawi, maendeleo na mafao ya wengi; Vita kati ya ...
Papa amekazia umuhimu wa familia kama inavyofafanuliwa kwenye Katiba ya Bahrain kama mti wa maji ya uhai yanayojenga na kuimarisha udugu wa kibinadamu unaosimikwa katika misingi ya ...
Mtakatifu Francisko anatambulikana sana kwa kutoa kipaumbele cha kwanza kwa: Maskini, Amani na Mazingira nyumba ya wote; chimbuko la yote haya ni upendo kwa Kristo Yesu, ...
Kongamano la Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Barani Asia, FABC, huko Bangkok, kuanzia tarehe 12 Oktoba hadi 30 Oktoba 2022 linanogeshwa na kauli mbiu “Kutembea pamoja ...
Jumuiya ya Mtakatifu Egidio kuanzia tarehe 23 hadi 25 Oktoba 2022 inaendesha Mkutano wa Kimataifa wa Amani, Dini na Tamaduni katika Majadiliano, kwa kunogeshwa na kauli mbiu “Kilio ...
Mtakatifu Gaspari del Bufalo ni mfano bora wa uinjilishaji wa kina unaojikita katika ushuhuda na utakatifu wa maisha; kwa kusikiliza na kujibu kilio cha damu ya maskini, wagonjwa ...
Baba Mtakatifu Francisko katika Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani anasema, mwaka 2022 FAO inaadhimisha kumbukizi ya Miaka 77 tangu kuanzishwa kwake, kwa lengo la kupambana na ...
Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake, kwa washiriki wa Kongamano hili, Jumamosi tarehe 8 Oktoba 2022 amekazia kuhusu: Ukuaji wa uchumi unaozingatia utu, heshima na haki ...
Mkutano mkuu wa 37 wa Shirika la “Wamisionari wa Oblate wa Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili” kauli mbiu: “Mahujaji wa Matumaini katika Ushirika.” Baba Mtakatifu katika hotuba ...
Kardinali Matteo Maria Zuppi kama sehemu ya maadhimisho ya Sikukuu hii yaliyofanyika kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Francisko mjini Assisi, Italia, katika mahubiri yake amekazia ...
Papa anapenda kuungana na wajumbe wa Utume wa Bahari, kumwimbia Mungu utenzi wa shukrani kwa mafanikio makubwa yaliyokwisha kupatikana katika kipindi cha miaka 100 iliyopita, kama ...
AMECEA na Mazingira: Kanisa Katoliki kwa kuthamini na kujali umuhimu wa utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote, maadhimisho haya yakachukua mfumo wa kiekumene na kilele chake ni ...
Jumuiya ya Kimataifa inapaswa kusimama kidete kulinda: utu, haki na heshima ya binadamu dhidi ya vitisho vinavyohatarisha misingi ya amani na utulivu na hasa zaidi mapambano ya ...
Maisha na utume wa Kanisa unaopata chimbuko na hatima yake katika Ekaristi Takatifu. Wajitahidi kushikamana na Yesu katika: Neno, Ibada ya Kuabudu Ekaristi Takatifu, Rozari, lakini ...
Siku ya Kutokomeza Silaha za Nyuklia Duniani kwa mwaka 2022, Baba Mtakatifu Francisko anatamka kwa mara nyingine tena kwamba, matumizi ya nguvu za atomic kwa ajili ya vita, kwa ...
WAWATA katika risala yao kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia S. Hassan, wameelezea historia ya WAWATA, Malengo ya Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwa WAWATA, ...
Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe ulioandikwa kwa niaba yake na Askofu mkuu Edgar Peña Parra, Katibu mkuu msaidizi wa Vatican, kwenda kwa Mama Evaline Malisa Ntenga, ...
Mama Evaline Malisa Ntenga katika makala hii, anaelezea historia ya WAWATA, dhamana na wajibu wa WAWATA katika malezi na makuzi ya watoto na vijana ndani ya familia. Maadhimisho ya ...
Ni matumaini kwamba Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP27) utakaofanyika nchini Misri, Mwezi Novemba 2022, pamoja na Mkutano wa 15 wa Umoja wa Mataifa wa ...
Siku ya Kuombea Utunzaji Bora wa Mazingira kwa mwaka 2022: Kauli mbiu: “Sikilizeni Kilio cha Kazi ya Uumbaji.” Papa anakazia wongofu wa kiikolojia; (COP27) utakaofanyika Misri, ...
Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 ya WAWATA: Kauli mbiu: “Upendo, Mshikamano na Uadilifu wa Uumbaji” na kilele ni tarehe 11 Septemba 2022 kwenye Uwanja wa Mkapa, Jijini Dar es ...
Lengo na shabaha Mwinjili Luka ni kuwahimiza wakristo wa jumuiya yake kutambua wajibu wao wa kushika imani, si kwa mazoea tu bali kwa maisha halisi ya siku kwa siku, kama sehemu ya ...
Dr. Paolo Ruffini amegusia kuhusu: Maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia ya mawasiliano ya jamii, ujenzi wa ushirika, mawasiliano kama chombo cha huduma kinachopaswa kutumia ...
Utoto Mtakatifu Jimbo kuu la Dar es Salaam, nchini Tanzania kuanzia tarehe 11-15 Agosti 2022 linaadhimisha Kongamano la Utoto Mtakatifu Jimbo Kuu la Dar es Salaam kama sehemu ya ...
Likizo ni muda wa kupumzika: kimwili na kisaikolojia, ili kupyaisha tena nguvu za kuweza kusonga mbele. Ni fursa ya kutenga muda kwa ajili ya sala na ushiriki katika maadhimisho ya ...
Hii ni changamoto kwa wazee kuwa ni mfano bora wa unabii kwa vijana wa kizazi kipya katika maadili na utu wema; kwa kusimama kidete kulinda na kudumisha Injili ya uhai dhidi ya ...
Ujumbe wa SECAM: Umiliki wa SECAM, Ukosefu wa usalama; Kanisa na hali ya wakimbizi, Kanisa katika Sinodi, Vyombo vya mawasiliano ya jamii na hatimaye ni shukrani kwa wadau ...
Sherehe hii ni muhtasari wa Mafumbo ya Imani ya Kanisa, yaani: Mateso, Kifo na Ufufuko wa Yesu ili aweze kuwaimarisha wafuasi wake katika hija ya mwanga wa imani. Ni kielelezo cha ...
Papa Francisko pamoja na Rais wa Jamhuri ya watu wa Fuji katika mazungumzo yao ya faragha, wamegusia masuala ya Kimataifa na Kikanda, lakini kwa namna ya pekee kabisa, umuhimu wa ...
Mwanadamu anapaswa kutumia: mapaji na mali za ulimwengu kwa ajili ya sifa na utukufu wa Mungu, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi ili tuweze kuurithi ufalme wa mbinguni. ...
Kanisa linapaswa kuwa ni nyumba ya familia ya watoto wote wa Mungu, mahali wanapoweza kushiriki Karamu ya uzima wa milele, kwa kutambua kwamba, kwa njia ya Fumbo la Msalaba, wote ...
Mambo muhimu: Janga la Ugonjwa wa UVIKO-19; Utunzaji bora wa mazingira, wongofu wa kiikolojia; vijana, siasa na hotuba za chuki na uhasama zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa. ...
Ibada ya Misa Takatifu katika kufunga Mkutano Mkuu wa 20 wa AMECEA imeongozwa na Kardinali Polycarp Pengo Ujumbe wa Mababa wa AMECEA kwa watu wa Mungu ukasomwa kwa lugha ya ...
Vipaumbele vya AMECEA: katika ulinzi na utunzaji wa mazingira nyumba ya wote: Wongofu wa kiikolojia; Unafishaji wa tunu msingi za Kiinjili za haki, amani na udugu wa kibinadamu ...
Kardinali Luis Antonio Gokim Tagle tarehe 11 Julai 2022 alipata nafasi ya kutembelea Kanisa la Parokia ya Mt. Yohane Bosco, Jimbo kuu la Dar es Salaam ambalo hivi karibuni ...
Shirikisho la Mashirika ya Watawa Kike Afrika Mashariki na Kati, ACWECA pamoja na mambo mengine, linapania: Kukuza na kuendeleza majiundo makini ya watawa; kuwajengea uwezo watawa ...
Mwaka 2024, Jumuiya Ndogo ndogo za Kikristo zinaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake. Jumuiya hizi ni sehemu muhimu sana ya Kanisa Mahalia; mahali ambapo Wakristo ...
Waraka wa “Laudato si” yaani “Sifa iwe kwako” juu ya utunzaji wa nyumba ya wote” unagusia kuhusu: Mambo yanayoendelea kujiri katika mazingira; Injili ya Kazi ya Uumbaji na Amani; ...
Sala na Kazi ni mambo yanayopaswa kumwilishwa kikamilifu katika maisha ya wafuasi wa Kristo. Yesu anamwonya Martha aliyejitaabisha mno kwa mambo ya kidunia na kwamba, alihitaji pia ...
Katika hotuba yake amekazia ushirikiano wa Serikali na wadau wa utunzaji bora wa mazingira na kwamba, Papa Francisko anatoa kipaumbele kwa mazingira. Dar es Salaam inazidi kung’aa ...
Lengo la jukwaa hili ni kuwajengea wanafunzi uwezo wa kushiriki na kuchangia mawazo yao kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi. Kati ya mada ambazo zinachambuliwa ni ...
Kimsingi Waraka “Laudato si” yaani “Sifa iwe kwako” juu ya utunzaji wa nyumba ya wote” ni nyenzo ya nguvu katika utekelezaji wa sera na mikakati ya shughuli za kichungaji sanjari ...
Kardinali Tagle katika mahubiri yake amekazia kuhusu dhamiri nyofu, upendo na ukaribu wa Mungu kwa waja wake, mwaliko kwa familia ya Mungu AMECEA kudumisha ujirani mwema, ili ...
Tanzania ni mwenyeji wa mkutano mkuu wa 20 wa AMECEA unaonogeshwa na kauli mbiu: “Utunzaji wa Mazingira kwa Ajili ya Maendeleo Endelevu ya Binadamu.” Hii ni kauli mbiu inayochota ...
Maadhimisho ya Siku ya X ya Familia Duniani kuanzia tarehe 22 hadi 26 Juni, 2022 yananogeshwa na kauli mbiu: “Upendo wa familia: wito na njia ya utakatifu”. Mwaka wa Furaha ya ...
Serikali ya Tanzania imewahakikishia wakazi wanaohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kuelekea kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga kuwa hakuna ...
Uwepo wa Mungu katika nafsi na maisha yetu ubadili yote, ufanya yote mapya, tabia zetu, aina za maisha yetu, mitazamo yetu, hulka zetu, mahusiano yetu, na yote yanayokuwa kinyume ...
Wasiwasi wa Vatican kuhusu mradi mkubwa wa EACOP,unaohusu bomba la Mafuta ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania na kuziomba Serikali ili kuwekeze katika biashara rafiki kwa ajili ya ...
Ujumbe wa Kwaresima kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC kwa Mwaka 2022 unanogeshwa na Kauli mbiu: “Tunawasihi kwa jina lake Kristo, mpatanishwe na Mungu” (2 Kor 5:20). ...
Msamaha ndio mahali ambapo nadharia ya upendo inachukua mwili, inapata mashiko; anayesema ninakusamehe anasema ninakupenda na anayesema anapenda awe tayari kusamehe. Injili ...
Baba Mtakatifu amekazia umuhimu wa kujikita katika malengo yao, kwa kuzingatia kanuni maadili na utu wema; ujenzi wa mfumo mpya wa uchumi unaofumbatwa katika: utu, heshima na haki ...
Tanzania ni mwenyeji wa mkutano mkuu wa 20 wa AMECEA. Kauli mbiu: “Utunzaji wa Mazingira kwa Ajili ya Maendeleo Endelevu ya Binadamu.” Inachota maudhui yake kutoka katika “Laudato ...
Baba Mtakatifu Francisko amewaosia wajumbe Shirikisho la Wajenzi Kitaifa nchini Italia, kujikita katika tunu msingi za Kikristo wanapotekeleza dhamana na wajibu wao katika mchakato ...
Juma la 55 la Kuombea Umoja wa Wakristo kwa mwaka 2022 linaongozwa na kauli mbiu “Tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.” Mt 2:2. Tafakari ya kuombea umoja wa ...
Ni matumaini ya viongozi wakuu wa kidini kwamba, Mji Mtakatifu wa Yerusalemu, utakuwa huru kwa waamini wa dini hizi tatu kuwa na uhakika wa kuendesha Ibada zao, ili Sala na sadaka ...
Kuna nchi 183 zenye uhusiano wa Kidiplomasia na Vatican. Pia kuna Umoja wa Ulaya, Shirika la Kimataifa la Malta, Tume ya Kudumu ya Serikali ya Palestina. Balozi na Mashirika ya ...
Kitovu cha maungamo ni upendo. Ni Yesu mwenyewe ambaye anawasubiri, anayewasikiliza na kuwasamehe waamini dhambi zao. Jambo muhimu la kukumbuka ni kwamba: Kwenye moyo wa Mungu, ...
Baba Mtakatifu anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kulitafakari zaidi Fumbo la Umwilisho na hivyo kujitahidi kuwa ni Wasamaria wema, katika medani mbalimbali ...
WAWATA Parokia ya Kiabakari Jimbo Katoliki la Musoma, Tanzania, imezindua maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwa WAWATA kunako mwaka 1972 kwa semina maalum ...
Papa: Kama Wafanyabiashara Wakristo wanapaswa kujiaminisha chini ya ulinzi na maongozi ya Mungu, wajizatiti katika kipaji cha ubunifu, ili kuweza kuongeza thamani ya shughuli ...
Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa washiriki wa Jukwaa la IV la Amani Paris, Ufaransa kwa Mwaka 2021 anawataka wajumbe wajizatiti katika kukuza na kudumisha amani, ...
Papa katika barua yake kwa waamini nchini Scotland anasema, alitamani sana kushiriki mkutano wa COP26. Anawashukuru kwa kumuunga mkono katika nia hii njema katika kukabiliana na ...
Jumuiya ya Kimtaifa tarehe 31 Oktoba 2021 imefungua mkutano wa Kimataifa kuhusu Mabadilio ya Tabianchi COP26 huko Glasgow, Scotland. Baba Mtakatifu Francisko anawaalika viongozi ...
Katika mahojiano maalum na Vatican Media Kardinali Pietro Parolin, anazungumzia lengo la Vatican kuhudhuria mkutano huu, changamoto ya kitamaduni, dharura zinazopaswa kufanyiwa ...
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP26) huko Glasgow nchini Scotland, kuanzia tarehe 31 Oktoba hadi tarehe 12 Novemba 2021 unafanikiwa. Hizi ni juhudi za ...
Maadhimisho ya Juma la Wakatoliki wa Italia Kijamii, ambalo kwa Mwaka 2021 limeingia katika awamu yake ya 49 tangu kuanzishwa kwake kuanzia tarehe 21-24 Oktoba 2021 limenogeshwa ...
WAWATA wametakiwa kuendelea kutumikia na kuwajibika. Padre Patrick Kimaro, Paroko, amekazia umuhimu wa WAWATA kujikita katika kusoma, kulitafakari na kulimwilisha Neno la Mungu ...
Papa Francisko: Kuna haja ya kufanya mabadiliko katika mifumo yote ya chakula duniani. Maeneo ya maboresho: Baharini, Mezani, Upotevu na Utupaji wa Chakula. Mtindo wa maisha na ...
Mkutano wa 35 wa Kuombea Amani Duniani 2021: Amani inajengwa kwa njia ya majadiliano na mshikamano wa udugu wa kibinadamu! Kuna haja ya kujenga na kudumisha utamaduni wa amani ...
Mawazo makuu: Fadhila ya Hekima, ili kuweza kumfahamu, kumpenda, kumtumikia Mungu na hatimaye, kufika kwake Mbinguni. Hekima ya Mungu imefunuliwa katika Kazi ya Uumbaji na katika ...
Viongozi wa Makanisa wanagusia kuhusu madhara ya UVIKO-19, umuhimu wa kushikamana, kujenga na kudumisha udugu wa kibinadamu na njili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo. Wanakazia ...
Papa Francisko anasema, mazingira ni zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu inayopaswa kutunzwa, kulindwa na kuendelezwa kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi. Ikumbukwe ...
Papa amegusia: Afya ya Umma: Kilio cha maskini na kilio cha dunia, Maadili ya Kibaiolojia Ulimwenguni; Afya na Magonjwa, Chanjo dhidi ya UVIKO-19 na umuhimu wa Mchango wa Taasisi ...
Baba Mtakatifu Francisko alipenda kuonesha uwepo wake wa karibu, upendo na mshikamano wa kidugu kwa watu wote walioathirika na mlipuko huo. Baba Mtakatifu amewaombea pia wale wote ...
Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii kama sehemu ya maadhimisho ya Siku hii, anasikitika kusema kwamba, mashindano ya silaha, zikiwemo silaha za ...
Baba Mtakatifu amegusia kuhusu amani na mshikamano wa udugu wa kibinadamu; uinjilishaji wa imani unaosimikwa katika umoja wa Wakristo, chumvi na mkate kama alama za ukarimu wa watu ...
Patriaki Bartolomeo wa kwanza wakati wa maadhimisho ya kongamano hili amekazia zaidi kuhusu umuhimu wa Sakramenti ya Ekaristi Takatifu kama kielelezo cha shukrani kwa Mwenyezi ...
Papa amekutana na kuzungumza na viongozi wakuu wa Hungaria Katika mazungumzo yao pamoja na mambo mengine wamegusia kuhusu: utume wa Kanisa nchini Hungaria; Umuhimu wa kusimama ...
Nia kwa Mwezi Septemkba 2021, mwaliko kwa waamini na watu wote wenye mapenzi mema kufanya tafakari ya kina kuhusu mtindo wa maisha yao, kwa kuangalia kwa kina na mapana ni jinsi ...
Baba Mtakatifu Francisko, Patriaki Bartolomeo wa kwanza na Askofu mkuu Justin Welby wa Jimbo kuu la Canterbury wanaandaa Waraka wa Kiekemene unaotarajiwa kutolewa wakati wowote ...
Mwinjili Marko leo anatuonesha kuwa kiziwi na mwenye utasi ni yule ambaye bado hajapata fursa ya kukutana na Kristo Yesu na kuisikia Injili yake, lakini pia kila mmoja anayefunga ...
Baba Mtakatifu amegusia kuhusu afya yake jinsi ambavyo wauguzi kwa mara mbili wameokoa maisha yake! Machafuko ya kisiasa nchini Afghanistan, Uhusiano kati ya Vatican na China; Kifo ...
Maadhimisho ya Siku ya Kuombea Utunzaji Bora wa Mazingira sanjari na Kipindi cha Kazi ya Uumbaji yameukuta ulimwengu ukiwa umeandamw na majanga asilia. Hii inatokana na athari za ...
Papa anawapongeza “Wanaharakati wa Laudato si” kwa kusimama kidete kulinda na kudumisha mazingira bora nyumba ya wote. Wanahakati wa Laudato si wako mstari wa mbele kuhamasisha ...
Siku ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Askofu mkuu Ruwa’ichi ameadhimisha siku hii maalum kwa heshima ya Bikira Maria Malkia wa Mbingu, ili kutoa fursa kwa WAWATA kusali na ...
Ushauri kwa Rais Hakainde Hichilema wa Zambia katika uongozi wake, ajitahidi kutoa kipaumbele cha kwanza katika mapambano dhidi rushwa na ufisadi wa mali ya umma. Ajizatiti na ...
Baraza la Maaskofu Katoliki Australia limetoa Tamko la Haki na Amani kwa Mwaka 2021-2022: “Kilio cha Dunia Mama na Kilio cha Maskini” Umuhimu wa toba na wongofu ili kubadili: ...
Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Vijana Kimataifa kwa Mwaka 2021 ni “Kubadilisha Mfumo wa Chakula: Vijana kwa Afya ya Binadamu na ya Sayari" Papa: Kwa msaada wa vijana na roho ...
Injili ya Kristo ni Habari Njema ya Wokovu na nguvu inayoleta mabadiliko katika maisha ya waamini pamoja na vipaumbele vyao! Papa Francisko anawaalika waamini kujenga utamaduni wa ...
Harakati hii ilianzishwa mnamo 2015 na kikundi cha mashirika 17 Katoliki na wahamasishaji 12 wa Vyuo vikuu na mashirika ya kijamii kutoka mabara yote yaliyojitolea kusaidia waamini ...