Simulizi katika Picha za Ziara ya Papa Leo XIV barani Afrika!
Vatican News
Ni nyakati nzuri na muhimu zaidi zinazorudia Ziara ya Tatu ya Kitume ya Baba Mtakatifu Leo XIV, ambayo alitembelea nchi nne kuanzia: Algeria, Cameroon, Angola, na hatimaye Guinea ya Ikweta.
Katika ziara hiyo mikutano ya kitaasisi na ya kidini, kukumbatiana Makanisa mahali, vijana, familia, ulimwengu wa utamaduni, magereza, wagonjwa, na wazee, ni fursa kwa dhati mbalimbali za kuthibitisha ukuu wa Kristo kupitia Papa ambaye amepeleka ujumbe wa amani.
Nyuso za furaha, za kushangaa, za kucheka za kulia kwa furaha, zilionekana katika nchi hizi zote alizotembelea Baba Mtakatifu, karibu ya kutaka kuomba abaki Katikati ya kila mkutano.
Asante kwa kusoma makala yetu. Unaweza kuendelea kupata habari mpya kwa kujisajili kwenye jarida letu la kila siku. Just click here.
