Simulizi katika Picha za Ziara ya Papa Leo XIV barani Afrika!

Kuanzia heshima kwa nchi ya Mtakatifu Agostino Algeria,akipitia Cameroon na Angola hadi Misa iliyoadhimishwa huko Malabo,Guinea ya Ikweta.Hizi ni hatua za Ziara ya Tatu ya Kitume ya Papa Leo XIV barani Afrika iliyoanza tangu tarehe 13 hadi 23 Aprili 2026.

Vatican News

Ni nyakati nzuri na muhimu zaidi zinazorudia Ziara ya Tatu ya Kitume ya Baba Mtakatifu  Leo XIV, ambayo alitembelea nchi nne kuanzia: Algeria, Cameroon, Angola, na hatimaye Guinea ya Ikweta.

Papa algeria
Papa algeria   (@Vatican Media)
Papa akiwa Cameroon
Papa akiwa Cameroon   (@Vatican Media)
Papa Angola
Papa Angola   (@Vatican Media)
Papa na mwenyeji wake Guinea ya Ikweta
Papa na mwenyeji wake Guinea ya Ikweta   (@Vatican Media)

Katika ziara hiyo mikutano ya kitaasisi na ya kidini, kukumbatiana Makanisa mahali, vijana, familia, ulimwengu wa utamaduni, magereza, wagonjwa, na wazee, ni fursa kwa dhati mbalimbali za kuthibitisha ukuu wa Kristo kupitia  Papa  ambaye amepeleka ujumbe wa amani.

Watoto wakimsubiri Papa katika Basilika ya Bikira maria Mkingiwa huko Guinea ya Ikweta
Watoto wakimsubiri Papa katika Basilika ya Bikira maria Mkingiwa huko Guinea ya Ikweta   (@Vatican Media)
Papa kusikiliza watoto
Papa kusikiliza watoto   (@Vatican Media)
Watoto wa kike katika dansi ya kisasa
Watoto wa kike katika dansi ya kisasa   (@Vatican Media)
Wakubwa kwa wadogo kumpokea Papa
Wakubwa kwa wadogo kumpokea Papa   (@Vatican Media)

Nyuso za furaha, za kushangaa, za kucheka za kulia kwa furaha, zilionekana katika nchi hizi zote alizotembelea Baba Mtakatifu, karibu ya kutaka kuomba abaki Katikati ya kila mkutano.

Papa akiwalekea wafungwa Msalaba
Papa akiwalekea wafungwa Msalaba   (@Vatican Media)
Wakati muhimu wa kugusa wakati mvua ikinyesha na wao wametulia au kuimba kwa furaha ya Papa
Wakati muhimu wa kugusa wakati mvua ikinyesha na wao wametulia au kuimba kwa furaha ya Papa   (@Vatican Media)
Kikundi cha Radio Maria Guinea ya Ikweta
Kikundi cha Radio Maria Guinea ya Ikweta   (@Vatican Media)
Kupokea Maua
Kupokea Maua   (@Vatican Media)
Papa Leo XIV akikaribishwa na akizungukia watu
Papa Leo XIV akikaribishwa na akizungukia watu   (@Vatican Media)
Umati Mkubwa
Umati Mkubwa   (@Vatican Media)
Utamadunisho wakati wa misa
Utamadunisho wakati wa misa   (@Vatican Media)
Papa akisali mbele ya Mama Maria na mtoto mgongoni
Papa akisali mbele ya Mama Maria na mtoto mgongoni   (@Vatican Media)
Hatimaye Papa alipanda tena Ndege kutoka Guinea ya Ikweta kumrudisha Roma

Asante kwa kusoma makala yetu. Unaweza kuendelea kupata habari mpya kwa kujisajili kwenye jarida letu la kila siku. Just click here.

23 Aprili 2026, 16:30