Tafuta

2026.06.12 Papa amefika Kisiwa cha  Mtakatifu Msalaba Mtakatifu cha Tenerife. 2026.06.12 Papa amefika Kisiwa cha Mtakatifu Msalaba Mtakatifu cha Tenerife.   (@Vatican Media)

Papa Leo XIV amefika Las Palmas ya Kisiwa cha Kanari-Msalaba Mtakatifu huko Tenerife

Papa Leo XIV katika hatua yake ya mwisho ya Ziara yake ya Kitume nchini Hispania,Ijumaa tarehe12 Juni 2026 alitua Uwanja wa Kimataifa wa “Tenerife Norte-Los Rodeos” huko Tenerife mojawapo ya Visiwa vya Kanari.Katika ratiba yake kabla ya kuhitimisha:ni kukutana na wahamiaj,itafuata misa na kuhitimishwa kwa hafla ya kuagwa.

Vatican News

Utetezi wa hadhi ya wahamiaji na wito kwa jumuiya ya kimataifa kutopuuza mapokezi yao ulibainisha nyakati za kwanza za Papa Leo XIV huko Gran Canaria, kituo cha tatu katika safari yake ya kitume. Haya yanasemwa na Massimiliano Menichetti kuhusu maneno mazito ya PapaLeo XIV: "bahari hazipaswi kuwa makaburi bila mawe ya makaburi, na hatuwezi kuzoea kuhesabu wafu."

Ziara ya Papa Leo XIV huko Kisiwa
Kituo cha mwisho cha Papa huko Tenerife
Kituo cha mwisho cha Papa huko Tenerife   (AFP or licensors)

Katika ratiba yake kabla ya kuhitimisha:kukutana na wahamiaji, wa Kituo cha LasRaices), baadaye kukutana na hali halisi ya usaidizi na ufungamanishwaji wa wahamiaji katika Uwanja wa Kisiwa, kisha itafuata ibada ya Misa Takatifu Misa na kuhitimishwa kwa hafla ya kuagwa kablaya kurudi Roma

Wahamiaji
Wahamiaji   (@Vatican Media)
Wahamiaji  na Papa Leo XIV
Wahamiaji na Papa Leo XIV   (@Vatican Media)

 

12 Juni 2026, 10:10