Papa Leo XIV amteua Balozi wa Vatican nchini Siria
Askofu Mkuu Luigi Roberto Cona tarehe 19 Machi 2026 ameteuliwa na Baba Mtakatifu Leo XIV kuwa Balozi wa Vatican nchini Siria.Kabla ya Uteuzi huo alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini El Salavador.
19 Machi 2026, 16:22
