Papa amteua Ask.Mkuu Girelli,kuwa Balozi wa Vatican,nchini Kroatia
Baba Mtakatifu Leo XIV Ijumaa tarehe 13 Machi 2026 amemteua Balozi wa Vatican nchini Kroatia,Askofu Mkuu Leopoldo Girelli,wa Kanisa la Capri,ambaye hadi uteuzi alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini India na Nepal.
13 Machi 2026, 12:00
