Kutoka kwa Papa,Mkutano wa Ndoa Ulimwenguni Kote!
Tarehe 12 Machi 2026 Baba Mtakatifu Leo XIV,alikutana na ujumbe kutoka chama cha kimataifa cha waamini waliojitolea kuhamasisha ndoa ya Kikristo.Ikitambuliwa rasmi Machi 12,na Baraza la Kipapa la Walei,Familia na Maisha,ilianza nchini Hispania miaka ya 1950,na kujulikana rasmi mwaka 1968 na sasa inawakilishwa katika takriban nchi mia moja.
12 Machi 2026, 17:14
