Tafuta

Maaskofu wa Kenya. Maaskofu wa Kenya. 

Ask.Jackson Murugara,anakuwa Askofu wa Jimbo la Meru,Kenya

Baba Mtakatifu Leo XIV, Januari 1,2026 alikubali maombi ya kung’atuka katika shughuli za kichungaji za Jimbo Katoliki la Meru nchini Kenya,yaliyowakilishwa na Askofu Salesius Mugambi na wakati huo huo kumthibitishwa Askofu Jackson Murugara,I.M.C. ambaye hadi wakati huo alikuwa Askofu Mwandamizi wa Jimbo hilo kuwa Askofu wa jimbo.
02 Januari 2026, 15:14