Dakika 1 katika siku ya Tatu ya Papa Leo XIV,Madrid

Vyombo vya Habari Vatican vinakuletea picha za siku ya Tatu ya Papa Leo XIV akiwa kwenye hija ya Kitume Madrid,Hispania ambayo ilijaa matukio:kuanzia na kutembelea Waziri Mkuu kwa faragha,Bunge,kukutana na Maaskofu,kukutana na waathirika wa nyanyaso,kusali mbele ya Mama wa Almudena na hatimaye kukutana na watu 80,000 wa kutoka Jimbo Kuu la Madrid katika Uwanja maarufu wa Santiago Bernabéu,Jumatatu jioni Juni 8.
08 Juni 2026, 22:30