Papa huko Yaoundé,maelezo ya safari

Kutoka mji mkuu wa Cameroon,Massimiliano Menichetti anafupisha siku ya kwanza ya Papa Leo XIV katika nchi hiyo ya Afrika,ikiwa ni kutuo cha pili cha Ziara ya Kitume barani Afrika:"manufaa ya wote,vijana,wanawake,uhalali na mazungumzo kati ya dini zote ni nguzo za kujenga leo hii na mustakabali wa jamii ya Cameroon na Kanisa."
16 Aprili 2026, 10:47