Papa huko Bamenda,maelezo ya Safari
Siku ya pili ya Papa Leo XIV miongoni mwa umati wa watu wa jiji la Cameroon katika eneo lililoharibiwa na mgogoro mrefu,katika ripoti ya Massimiliano Menichetti:licha ya vurugu, mapinduzi ya kimya kimya yanayotegemea mazungumzo na udugu yanaweza kutokea.
17 Aprili 2026, 11:27
