2025.09.27 Monsinyo Roberto Campisi 2025.09.27 Monsinyo Roberto Campisi 

Papa Amemteua Mons.Roberto Campisi kuwa Mwakilishi wa Kudumu wa UNESCO

Monsinyo Campisi, awali alikuwa ni Mhusika Masuala Makuu ya Sekretarieti ya Vatican.

Vatican News

Baba Mtakatifu Leo XIV, Jumamosi tarehe 27 Septemba 2025 alimteua Monsinyo Roberto Campisi, ambaye awali alikuwa Mhusika wa Masuala Makuu ya Sekretarieti ya Vatican, kuwa Mwakilishi wa Kudumu wa Vatican katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu na Sayansi na Teknolojia(UNESCO), akiwa na jukumu la kusimamia pia shughuli za Mashirika ya Kikatoliki ya Kimataifa.

Uteuzi UNESCO
27 Septemba 2025, 14:45