Vatican News
  • Chapisha pamoja na picha
  • Chapisha bila picha
  • Funga
Papa anaendelea na matibabu Hospitalini Gemelli. Papa anaendelea na matibabu Hospitalini Gemelli. 
Baba Mtakatifu

Papa Hospitalini Gemelli:usiku ulikuwa mtulivu

“Usiku ulikuwa mtulivu,Papa yuko bado anapumzika.” Ni sasisho jipya kuhusiana na hali ya Afya ya Baba Mtakatifu Francisko,lililotolewa Dominika asubuhi tarehe 2 Machi 2025, na ambaye alilazwa Hospitalini Gemelli,Roma tangu tarehe 14 Februari.
Mchango wako kwa ajili ya utume mpana zaidi: tuunge mkono ili tupeleke ujumbe wa Papa kwa kila nyumba.
Mchango wako kwa ajili ya utume mpana zaidi: tuunge mkono ili tupeleke ujumbe wa Papa kwa kila nyumba.
02 Machi 2025, 08:23
  • Tuma
  • Chapa
Matukio zaidi yanayokuja:

Agenda za Baba Mtakatifu

Mchango wako kwa ajili ya utume mpana zaidi! Mchango wako kwa ajili ya utume mpana zaidi!